Friday, May 9, 2025
spot_img

Uingereza yavutiwa na mkakati wa kuongeza thamani ya madini nchini

0
📍 Dar es Salaam WAZIRI wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika Lord Collins amevutiwa na mpango wa nchi ya Tanzania kuandaa mkakati maalum wa uongezaji...

Tanzania yadhamiria kuendeleza mageuzi ya Kidijitali katika elimu

0
📌 Biteko asema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa elimu 📌 Asema Afrika lazima iendelee kuimarisha mazingira wezeshi kwa kampuni bunifu za kidigitali NAIBU Waziri Mkuu...

Mbeto: CCM itaheshimu na kufuata ushauri bila kuvunja Katiba na Sheria

0
Mwandishi Wetu, Zanzibar CHAMA Cha Mapinduzi kimesema kwa miaka yote kimepokea, kusikiliza na kutekeleza Ushauri wa Wazee, watu mbalimbali Viongozi wa Dini na Kijamii bila...

HOUSE DESIGN

Matumizi ya Teknolojia yaongeza ufanisi na tija TANAPA

0
SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limejikita katika matumizi ya teknolojia mbalimbali ambayo yamesaidia kurahisisha utoaji wa huduma kwa wateja pamoja na kuongeza...

STAY CONNECTED

0FansLike
71,460FollowersFollow
0SubscribersSubscribe

PERFORMANCE TRAINING

Dkt. Biteko afurahishwa na utatuzi wa changamoto za ardhi Monduli

0
📌 Azindua Shule ya Sekondari Migungani, awataka wanafunzi kutunza miundombinu 📌 Asema Serikali yajipanga kujenga mradi mkubwa wa umeme Monduli Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na...

TAMISEMI yang’ara tuzo za TEHAMA 2025

0
OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeshinda tuzo nane za TEHAMA zilizotolewa na Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya...

Tume ya Madini yabainisha mikakati yake kufikia 10% ya kuchangia Pato la Taifa

0
KAIMU Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini Mhandisi Ramadhani Lwamo ameweka wazi uelekeo wa Sekta ya Madini katika kuchangia Pato la Taifa ili kufikia asilimia 10...

Serikali itakamilisha mchakato mabadiliko sheria ya habari – Nape

0
Na Mwandishi Wetu NAPE Nnauye, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amewahakikishia wadau wa habari kwamba, Serikali itakamilisha mchakato wa mabadiliko ya vipengele...

Wananchi waalikwa kushiriki hafla ya uzinduzi wa matokeo ya Sensa Oktoba 31

0
Na Abdulrahim Khamis OMPR WANANCHI wa Mkoa wa Dodoma na Mikoa Jirani wametakiwa kushiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Matokeo ya Awali ya Sensa ya...

WRC RACING

HEALTH & FITNESS

BUSINESS