MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA yatunukiwa ushindi Jumla katika maonesho ya 19 ya Biashara ya Afrika Mashariki yanayofanyika katika viwanja vya furahisha Mkoani mwanza
Vilevile TPA imekuwa mshindi wa kwanza kati ya Taasisi za Serikali zilizoshiriki kwenye maonesho hayo zenye Banda bora na huduma katika maonesho hayo.
Maonesho ya 19 ya Biashara ya Kimataifa ya Afrika mashariki kwa mwaka 2024 yamebeba kaulimbiu ya “Uboreshaji wa Mazingira ya uwekezaji na Baishara ni Kichocheo katika kukuza Uchumi wa Nchi”.