Monday, July 1, 2024
spot_img

HABARI MBALIMBALI ZA KITAIFA

KUTOKA VISIWANI ZANZIBAR

Idara ya habari Maelezo Z’bar yawaaga wastaafu

0
Na Sabiha Khamis, MAELEZO MWENYEKITI wa Bodi ya Idara Habari Maelezo Zanzibar Yussuf Omar Chunda amewataka wafanyakazi kuwa na nidhamu wanapokuwa kazini ili kuwajengea heshima...

HABARI ZA UTALII

Dkt.Abbas asisitiza utekelezaji wa mradi wa REGROW

0
Na Sixmund Begashe KATIBU Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas ameendesha Kikao Maalum cha Kamati ya Uongozi Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa...

UCHUMI NA BIASHARA

Rais Samia aagiza kero za wachimbaji wadogo zitatuliwe

0
SERIKALI ipo mbioni kutunga kanuni za kushughulikia migogoro kati ya wamiliki wa leseni na wenye maduara. Hayo yamesemwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde mkoani...

KONA YA MICHEZO

Wanaoshiriki UMISSETA 2024 wahakikishiwa usalama

MKUU wa Mkoa wa Tabora Paul Matiko Chacha, amewahakikishia Usalama wanamichezo na wageni waliopo Tabora kwa ajili ya kushiriki Mashindano ya UMISSETA 2024. Ameeleza hayo...

MAKALA NA UCHAMBUZI WA KINA

Ni sahihi kumsifia Rais Samia?

Na Emmanuel Shilatu WAPO wanaosema anayoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Serikali yake juu...

Hizi ni dalili njema za mafanikio ya Mageuzi ya kiuchumi ya Dkt. Samia

Na Derek Murusuri, Dar es Salaam UWEKEZAJI wa umma kwenye mashirika, duniani kote umekuwa msingi imara wa kuzisaidia Serikali za...

Samia alivyowafunga midomo wapinzani uwekezaji Bandari

Na Daniel Mbega "WALE waliopiga kelele Mama kauza bandari, Mama kauza bandari, Mama kauza nini - mauzo yale faida yake...

WATU NA MIKASA YA MAISHA

NHC yaunga mkono kazi za sanaa

Na Eleuteri Mangi, WUSMSHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limeunga mkono kazi za Sanaa ambazo zinasimamiwa na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa...