MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao maalum cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar leo Novemba 4, 2025.
















