Suzan Kaganda apandishwa cheo, ateuliwa

0

RAIS wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Suzan Kaganda kuwa Kamishna wa Polisi.

Vile vile, Rais Samia amemteua Kamishna Kaganda kuwa Kamishna wa Utawala na Raslimali watu wa Jeshi la Polisi.

Kamishna Kaganda anachukua nafasi ya Kamishna wa Polisi (CP) Benedict Wakulyamba ambaye atapangiwa kazi nyingine.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here