Habari Rais Samia azungumza katika mkutano wa Masuala ya Kilimo na Chakula jijini Dakar Senegal By Ripota Wetu - January 26, 2023 0 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Masuala ya Kilimo na Chakula ambao uliwahusisha Wadau wa Makampuni mbalimbali pamoja na Wawekezaji, Dakar nchini Senegal Januari 25, 2023. Katika Mkutano huo ambao Tanzania ilikuwa Mwenyeji, Rais Samia aliambatana na baadhi ya Mawaziri pamoja na wakuu wa Taasisi Mbalimbali