Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati alipowasili Ikulu Tunguu Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati alipowasili Ikulu Tunguu Zanzibar.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Tunguu Zanzibar.