Rais Samia akutana na Waziri Mkuu wa Norway

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu wa Norway Jonas Gahr Støre Jijini Oslo, Februari 14, 2014.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan pamoja na ujumbe wake katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Norway Jonas Gahr Støre Jijini Oslo Februari 14, 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mfalme Harald V wa Norway wakati wa hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Jonas Gahr Støre Jijini Oslo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu wa Norway.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here