Rais Samia ahutubia Mkutano wa Mawaziri wa Sheria

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar tarehe 04 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Patricia Scotland wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, Viongozi  na wageni waalikwa wakiwa wamesimama wakati wa wimbo wa Taifa kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi wengine wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola. 
Baadhi ya wageni waalikwa kutoka nchi wanachama za Jumuiya ya Madola wakifuatilia kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here