RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa majengo mapya ya Mahakama za Mkoa na Wilaya.
🗓️ Tarehe: 08 Septemba 2025
⏰ Saa 2:00 asubuhi
📍 Viwanja vya Mahakama ya Mkoa, Mazizini, Mkoa wa Mjini Magharibi.