Na Pendo Magambo – WMA WAFANYAKAZI wa Wakala wa Vipimo (WMA) Kitengo cha Bandari, wamesema wataendelea kutekeleza...
MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba amesema, Maonesho ya Tamasha...
WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imeweka mazingira wezeshi kwa ajili ya kutoa fursa kwa...
WIZARA ya Nishati pamoja na Taasisi zake zimeshiriki katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival) yanayoendelea kwenye kijiji...
Na Mahamudu Jamal – WMA MENEJA wa Viwango na Uhakiki, Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Magesa Biyani...
Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani Shilingi Bilioni 4.6 kupeleka umeme...
MKUTANO wa Kawaida wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...
Veronica Simba – WMA MKURUGENZI Mtendaji wa Wakala wa Vipimo Zanzibar (ZAWEMA) Mohammed Simai amefanya ziara ya...
NAIBU Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Veronica Simba na Paulus Oluochi – WMA AFISA Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla...