Habari Watanzania watakiwa kuyaishi maisha ya Hayati Mwinyi By Ripota Wetu - March 2, 2024 0 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa kuaga Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi katika uwanja wa Michezo wa Amani mjini Zanzibar.