Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu CCM, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

0
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo Ukumbi wa Mikutano Ikulu ya Chamwino Dodoma .(Picha na Ikulu)

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya  CCM.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here