Rais Samia azungumza kwenye Mkutano wa COP28

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai katika Falme za Kiarabu Desemba 1, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wakishiriki moja ya Mikutano kando ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai katika Falme za Kiarabu Desemba 1, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai katika Falme za Kiarabu Desemba 1, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitoka kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaofanyika Dubai.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here