Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Tabora kwenda Kigoma (km 506) kati ya Serikali kupitia Shirika la Reli (TRC) chini ya Mkurugenzi wake Masanja Kadogosa na Wawakilishi wa Kampuni za ubia za CCECC na CRCC kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, Desemba 20, 2022.


