Rais Samia ashuhudia Utiaji Saini Mkataba wa Ujenzi wa SGR, kipande cha Tabora – Kigoma, Ikulu Jijini Dar es Salaam

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Tabora kwenda Kigoma (km 506) kati ya Serikali kupitia Shirika la Reli (TRC) chini ya Mkurugenzi wake Masanja Kadogosa na Wawakilishi wa Kampuni za ubia za CCECC na CRCC kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, Desemba 20, 2022.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli (TRC) nchini Masanja Kadogosa na Mwakilishi wa Kampuni za ubia za CCECC na CRCC wakibadilishana Hati mara baada ya kutia saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Tabora kwenda Kigoma (km 506) iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, Desemba 20, 2022.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli (TRC) nchini Masanja Kadogosa na Mwakilishi wa Kampuni za ubia za CCECC na CRCC wakionesha Hati mara baada ya kutia saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Tabora kwenda Kigoma (km 506) iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, Desemba 20, 2022. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya tukio la utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Tabora kwenda Kigoma (km 506) kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, Desemba 20, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here