USTAWI wa maendeleo wenye kugusa kila sekta, wenye kumgusa kila mwananchi kwa maendeleo chanya unatokana na uwepo wa uongozi thabiti na imara wa Rais Dkt. πππππ²πΆπ» ππΉπΆ π ππΆπ»ππΆ kwakuwa ndiye kiongozi mwenye uthubutu na ubunifu katika kuijenga Zanzibar mpya.
Zanzibar ni sehemu yenye sifa ya utalii na katika hili Rais Dkt. Mwinyi amefanya kazi kubwa iliyopelekea ongezeko la watalii na upatikanaji wa fedha za kigeni ambazo zimetumika katika kuendelea kuleta maendeleo kwa maslahi ya Taifa na wananchi, ndio maana utalii umekuza ajira na biashara kwa wana-zanzibar.
Sasa yote yanatokana na Uongozi wa Rais Dkt. Mwinyi na ili yaendelee zaidi na zaidi ni kura yako ndio itakayoamua.
Usifanye makosa, Oktoba 29, mwaka huu nenda kamchugue Rais Dkt. Mwinyi kuendelea kuongoza ikiwa sambamba na kuwachagua Wawakilishi na Madiwani wanaotokana na CCM.