WANANCHI katika vijiji na maeneo ya pembezoni sasa wanafurahia huduma za simu na intaneti kupitia mradi wa ujenzi wa minara 758 unaotekelezwa na Serikali kupitia UCSAF.
Mpaka sasa jumla ya minara 707 imewaka na inatoa huduma kwa wananchi.