Rais Samia azindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa katika hafla ya uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Aprili, 2024.
Baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Aprili, 2024.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Aprili, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here