‘Lugha moja ni kufanya kazi’

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa.

Na Jabir Sultan

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan Iko imara Leo kuliko jana.

Mchengerwa ameyasema hayo hivi karibuni bungeni, jijini Dodoma wakati wa kuchangia hoja ya taarifa za kamati tatu za Bunge kuhusu ripoti ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG).

“Nilithibitishie Bunge Tukufu kuwa Serikali iko imara kuliko jana, hata zikija chaguzi tutashinda.”

Aidha, Mchengerwa alisema kwa watendaji wa Serikali hususani wa Serikali za Mitaa lugha ni moja tu ni ya kufanyakazi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here