Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ufaransa hapa nchini, Nabil Hajlaoui (kushoto) muda mfupi baada ya kumaliza mazungumzo yaliyohusu Ushirikiano juu ya Masuala ya Ulinzi na Usalama kati ya wizara na nchi hiyo. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisi Ndogo ya wizara, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

