Makamu wa Rais Dkt.Mpango awasili Ivory Coast

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akipokelewa na baadhi ya watanzania waishio nchini Ivory Coast mara baada ya kuwasili Abidjan leo tarehe 31 Oktoba 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here