MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili Jijini Dodoma, leo Novemba 5, 2025 kushiriki kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa.

Habari, Burudani, Makala, Michezo