Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Botswana Mokgweetsi Masisi katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh, nchini Misri.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Watanzania waliofika kutembelea Banda la Maonesho la Tanzania lililopo ndani ya ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh nchini Misri.
