MWANASIASA maarufu nchini Kenya Raila Odinga amefariki dunia leo Oktoba 15, 2025 akiwa na umri wa miaka 80.
Odinga, ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Kenya na mgombea urais mara kadhaa, amefariki dunia nchini India, alipokwenda kwa ajili ya matibabu.